Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 86 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَإِذَا حُيِّيتُم بِتَحِيَّةٖ فَحَيُّواْ بِأَحۡسَنَ مِنۡهَآ أَوۡ رُدُّوهَآۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٍ حَسِيبًا ﴾
[النِّسَاء: 86]
﴿وإذا حييتم بتحية فحيوا بأحسن منها أو ردوها إن الله كان على﴾ [النِّسَاء: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Muislamu akiwatolea salamu, muitikieni kwa maneno mazuri zaidi na kwa furaha zaidi, au muitikieni salamu kama vile alivyowatolea. Na kila mmoja ana thawabu zake na malipo yake. Hakika Mwenyezi Mungu Aliyetukuka ni Mwneye kulipa kwa kila kitu (mnachokifanya) |