Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 23 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٍ ﴾
[غَافِر: 23]
﴿ولقد أرسلنا موسى بآياتنا وسلطان مبين﴾ [غَافِر: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika tulimpelekea Mūsā alama zetu kubwa zenye kutolea ushahidi uhakika wa utume aliopewa na hoja zilizofunuka waziwazi juu ya ukweli wake katika ulinganizi wake, na kutanguka yale ambayo walikuwa nayo wale waliopelekewa hao Mitume |