Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 24 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ وَهَٰمَٰنَ وَقَٰرُونَ فَقَالُواْ سَٰحِرٞ كَذَّابٞ ﴾
[غَافِر: 24]
﴿إلى فرعون وهامان وقارون فقالوا ساحر كذاب﴾ [غَافِر: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Apate kuenda kwa Fir'awn, mfalme wa Misri, na Hāmān waziri wake, na Qārūn mwenye mali mengi na mahazina ya vitu vya thamani, wakaukanusha utume wake na wakafanya kiburi na wakamwambia, «Yeye ni mchawi mrongo sana, basi ni vipi anadai kuwa yeye ametumilizwa kwa watu kuwa ni Mtume?» |