×

Bila ya shaka kuumba mbingu na ardhi ni kukubwa zaidi kuliko kuwaumba 40:57 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ghafir ⮕ (40:57) ayat 57 in Swahili

40:57 Surah Ghafir ayat 57 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 57 - غَافِر - Page - Juz 24

﴿لَخَلۡقُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ أَكۡبَرُ مِنۡ خَلۡقِ ٱلنَّاسِ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَ ٱلنَّاسِ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[غَافِر: 57]

Bila ya shaka kuumba mbingu na ardhi ni kukubwa zaidi kuliko kuwaumba watu. Lakini watu wengi hawajui

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لخلق السموات والأرض أكبر من خلق الناس ولكن أكثر الناس لا يعلمون, باللغة السواحيلية

﴿لخلق السموات والأرض أكبر من خلق الناس ولكن أكثر الناس لا يعلمون﴾ [غَافِر: 57]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika ni kwamba uumbaji wa Mwenyezi Mungu wa mbingu na ardhi ni mkubwa zaidi kuliko kuwaumba watu na kuwarudisha uhai baada ya kufa, lakini wengi wa watu hawajui kwamba uumbaji wa vyote hivyo ni jambo sahali kwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek