Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 81 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَيُرِيكُمۡ ءَايَٰتِهِۦ فَأَيَّ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ تُنكِرُونَ ﴾
[غَافِر: 81]
﴿ويريكم آياته فأي آيات الله تنكرون﴾ [غَافِر: 81]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anawaonyesha dalili zake nyinygi zilizo wazi zenye kutolea ushahidi uweza Wake na uendeshaji mambo Wake. Basi ni dalili gani miongoni mwa dalili za Mwenyezi Mungu mnazikanusha na hamzikubali |