×

Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo 41:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:10) ayat 10 in Swahili

41:10 Surah Fussilat ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 10 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿وَجَعَلَ فِيهَا رَوَٰسِيَ مِن فَوۡقِهَا وَبَٰرَكَ فِيهَا وَقَدَّرَ فِيهَآ أَقۡوَٰتَهَا فِيٓ أَرۡبَعَةِ أَيَّامٖ سَوَآءٗ لِّلسَّآئِلِينَ ﴾
[فُصِّلَت: 10]

Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجعل فيها رواسي من فوقها وبارك فيها وقدر فيها أقواتها في أربعة, باللغة السواحيلية

﴿وجعل فيها رواسي من فوقها وبارك فيها وقدر فيها أقواتها في أربعة﴾ [فُصِّلَت: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na Akajaalia Mwenye kutakasika katika ardhi majabali yaliyojikita juu yake, Akaibarikia kwa kuifanya iwe na kheri nyingi kwa watu wake, Akakadiria humo riziki za chakula kwa watu wake na yale yanayowafaa maishani kwa kipindi cha Siku nne: Siku mbili Aliumba ndani yake ardhi na Siku mbili Aliweka katika ardhi majabali yaliyojikita na Akakadiria katika Siku mbili hizo riziki zake zikiwa sawa kwa wenye kuuliza, yaani kwa mwenye kutaka kuliuliza hilo apate kulijua
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek