×

Naye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na 42:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:25) ayat 25 in Swahili

42:25 Surah Ash-Shura ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 25 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَهُوَ ٱلَّذِي يَقۡبَلُ ٱلتَّوۡبَةَ عَنۡ عِبَادِهِۦ وَيَعۡفُواْ عَنِ ٱلسَّيِّـَٔاتِ وَيَعۡلَمُ مَا تَفۡعَلُونَ ﴾
[الشُّوري: 25]

Naye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na anayajua mnayo yatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو الذي يقبل التوبة عن عباده ويعفو عن السيئات ويعلم ما تفعلون, باللغة السواحيلية

﴿وهو الذي يقبل التوبة عن عباده ويعفو عن السيئات ويعلم ما تفعلون﴾ [الشُّوري: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu, aliyetakasika na kutukuka, Ndiye Anayekubali toba kutoka kwa waja Wake wanaporudi kwenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtii, Ndiye Anayesamehe makosa na Ndiye Anayejua mnayoyafanya ya kheri na shari, hakuna chochote kinachofichamana Kwake, na Yeye ni Mwenye kuwalipa kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek