×

Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki, 48:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Fath ⮕ (48:28) ayat 28 in Swahili

48:28 Surah Al-Fath ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 28 - الفَتح - Page - Juz 26

﴿هُوَ ٱلَّذِيٓ أَرۡسَلَ رَسُولَهُۥ بِٱلۡهُدَىٰ وَدِينِ ٱلۡحَقِّ لِيُظۡهِرَهُۥ عَلَى ٱلدِّينِ كُلِّهِۦۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا ﴾
[الفَتح: 28]

Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki, ili aitukuze juu ya dini zote. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Shahidi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هو الذي أرسل رسوله بالهدى ودين الحق ليظهره على الدين كله وكفى, باللغة السواحيلية

﴿هو الذي أرسل رسوله بالهدى ودين الحق ليظهره على الدين كله وكفى﴾ [الفَتح: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yeye Ndiye Aliyemtumiliza Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa ubainufu ulio wazi na Dini ya Uislamu, ili aifanye kuwa juu ya mila zote. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi kwamba Yeye ni Mwenye kukupa ushindi na kuidhihirisha Dini yako juu ya kila dini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek