×

Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Naye 5:120 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:120) ayat 120 in Swahili

5:120 Surah Al-Ma’idah ayat 120 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 120 - المَائدة - Page - Juz 7

﴿لِلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا فِيهِنَّۚ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرُۢ ﴾
[المَائدة: 120]

Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Naye ni Muweza wa kila kitu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لله ملك السموات والأرض وما فيهن وهو على كل شيء قدير, باللغة السواحيلية

﴿لله ملك السموات والأرض وما فيهن وهو على كل شيء قدير﴾ [المَائدة: 120]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni wa Mwenyezi Mungu Peke Yake ufalme wa mbinguni na ardhini na vilivyomo ndani yake, na Yeye, Aliyetakata na kila sifa mbaya, kwa kila kitu ni muweza; hakuna kitu kinachomshinda
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek