Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 40 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿أَلَمۡ تَعۡلَمۡ أَنَّ ٱللَّهَ لَهُۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ يُعَذِّبُ مَن يَشَآءُ وَيَغۡفِرُ لِمَن يَشَآءُۗ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٞ ﴾
[المَائدة: 40]
﴿ألم تعلم أن الله له ملك السموات والأرض يعذب من يشاء ويغفر﴾ [المَائدة: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani hujui, ewe Mtume, kwamba Mwenyezi Mungu ni Muumba wa ulimwengu, ni Mwenye kuuendesha na Mwenye kuumiliki na kwamba Yeye, Aliyetukuka, Ndiye Mfanya wa Alitakalo, Anamuadhibu Amtakaye na Anamsamehe Amtakaye; na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza |