×

Lakini mwenye kutubia baada ya dhulma yake, na akatengenea, basi Mwenyezi Mungu 5:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:39) ayat 39 in Swahili

5:39 Surah Al-Ma’idah ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 39 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿فَمَن تَابَ مِنۢ بَعۡدِ ظُلۡمِهِۦ وَأَصۡلَحَ فَإِنَّ ٱللَّهَ يَتُوبُ عَلَيۡهِۚ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٌ ﴾
[المَائدة: 39]

Lakini mwenye kutubia baada ya dhulma yake, na akatengenea, basi Mwenyezi Mungu atapokea toba yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فمن تاب من بعد ظلمه وأصلح فإن الله يتوب عليه إن الله, باللغة السواحيلية

﴿فمن تاب من بعد ظلمه وأصلح فإن الله يتوب عليه إن الله﴾ [المَائدة: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi yule atakayetubia baada ya wizi wake na akawa mwema katika vitendo vyake vyote, kwa hakika Mwenyezi Mungu Ataikubali toba yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwasamehe waja Wake, ni Mwenye huruma kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek