Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 55 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿إِنَّمَا وَلِيُّكُمُ ٱللَّهُ وَرَسُولُهُۥ وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱلَّذِينَ يُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَيُؤۡتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَهُمۡ رَٰكِعُونَ ﴾
[المَائدة: 55]
﴿إنما وليكم الله ورسوله والذين آمنوا الذين يقيمون الصلاة ويؤتون الزكاة وهم﴾ [المَائدة: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika msaidizi wenu , enyi Waumini, ni Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na Waumini wanaojilazimisha na Swala za faradhi na wanatekeleza Zaka kwa hiari yao na hali wao ni wanyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu |