Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 15 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٍ ﴾
[الذَّاريَات: 15]
﴿إن المتقين في جنات وعيون﴾ [الذَّاريَات: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo makubwa na chemchemi za maji yenye kutembea. Mwenyezi Mungu Atawapa yote wanayoyatamani ya aina mbalimbali za starehe |