Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 39 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ لَهُ ٱلۡبَنَٰتُ وَلَكُمُ ٱلۡبَنُونَ ﴾
[الطُّور: 39]
﴿أم له البنات ولكم البنون﴾ [الطُّور: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, mwenyezi Mungu , aliyetakasika, Ana watoto wa kike na nyinyi mna watoto wa kiume kama mnavyodai kwa uzushi na urongo |