Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 38 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ لَهُمۡ سُلَّمٞ يَسۡتَمِعُونَ فِيهِۖ فَلۡيَأۡتِ مُسۡتَمِعُهُم بِسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٍ ﴾
[الطُّور: 38]
﴿أم لهم سلم يستمعون فيه فليأت مستمعهم بسلطان مبين﴾ [الطُّور: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wao wana ngazi ya kupandia mbinguni wanasikiliza huko wahyi kwamba yale waliyonayo ndio haki? Basi na aje, yule anayedai kuwa amesikia hilo, na hoja ya waziwazi yenye kusadikisha madai yake |