Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 53 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَٱلۡمُؤۡتَفِكَةَ أَهۡوَىٰ ﴾
[النَّجم: 53]
﴿والمؤتفكة أهوى﴾ [النَّجم: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na miji ya watu wa Lūṭ, Mwenyezi Mungu Aliipindua juu yao Akazifanya sehemu za juu yake kuwa chini yake |