Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 52 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَقَوۡمَ نُوحٖ مِّن قَبۡلُۖ إِنَّهُمۡ كَانُواْ هُمۡ أَظۡلَمَ وَأَطۡغَىٰ ﴾
[النَّجم: 52]
﴿وقوم نوح من قبل إنهم كانوا هم أظلم وأطغى﴾ [النَّجم: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Akawaangamiza watu wa Nūḥ hapo kabla. Hao walikuwa ni wakali zaidi wa uasi na wakubwa zaidi wa ukafiri kuliko wale waliokuja baada yao |