Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 1 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿ٱقۡتَرَبَتِ ٱلسَّاعَةُ وَٱنشَقَّ ٱلۡقَمَرُ ﴾
[القَمَر: 1]
﴿اقتربت الساعة وانشق القمر﴾ [القَمَر: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kimekaribia Kiyama na mwezi umepasuka pande mbili, pale makafiri wa Makkah walipomtaka Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshikie, awaoneshe alama, na yeye akamuomba Mwenyezi Mungu na akawaonesha hiyo alama |