Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 2 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَإِن يَرَوۡاْ ءَايَةٗ يُعۡرِضُواْ وَيَقُولُواْ سِحۡرٞ مُّسۡتَمِرّٞ ﴾
[القَمَر: 2]
﴿وإن يروا آية يعرضوا ويقولوا سحر مستمر﴾ [القَمَر: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina wakiiona dalili na ushahidi juu ya ukweli wa Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, wanakataa kuziamini na kuzisadiki hali ya kukanusha na kupinga, na wanasema baada ya dalili kujitokeza, «Huu ni uchawi wenye ubatilifu na wenye kuondoka na kupotea usiokuwa na sifa ya kudumu |