Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 36 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ أَنذَرَهُم بَطۡشَتَنَا فَتَمَارَوۡاْ بِٱلنُّذُرِ ﴾
[القَمَر: 36]
﴿ولقد أنذرهم بطشتنا فتماروا بالنذر﴾ [القَمَر: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika Lūṭ aliwaonya watu wake mateso ya Mwenyezi Mungu na adhabu Yake, wasimsikilize, bali walilifanyia shaka hilo na wakamkanusha |