Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 5 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿ٱلشَّمۡسُ وَٱلۡقَمَرُ بِحُسۡبَانٖ ﴾
[الرَّحمٰن: 5]
﴿الشمس والقمر بحسبان﴾ [الرَّحمٰن: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Jua na mwezi zinatembea kwa kufuatana, moja baada ya nyingine, kwa hesabu madhubuti isiyotafautiana wala kugongana |