Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 6 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿وَٱلنَّجۡمُ وَٱلشَّجَرُ يَسۡجُدَانِ ﴾
[الرَّحمٰن: 6]
﴿والنجم والشجر يسجدان﴾ [الرَّحمٰن: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na nyota iliyo mbinguni na miti ya ardhini, vinamjua Mola wao, vinamsujudia na vinanyosha shingo zao kufuata vile ambavyo vimepangiwa vifuate vya maslahi ya waja Wake na manufaa yao |