Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 78 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿تَبَٰرَكَ ٱسۡمُ رَبِّكَ ذِي ٱلۡجَلَٰلِ وَٱلۡإِكۡرَامِ ﴾
[الرَّحمٰن: 78]
﴿تبارك اسم ربك ذي الجلال والإكرام﴾ [الرَّحمٰن: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Zimekithiri mno baraka za Jina la Mola wako, na kheri Zake zimekuwa nyingi, Mwenye haiba kubwa, utukufu wenye kukamilika na takrima kwa wenye kumtegemea Yeye |