Quran with Swahili translation - Surah Al-Mujadilah ayat 20 - المُجَادلة - Page - Juz 28
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ يُحَآدُّونَ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥٓ أُوْلَٰٓئِكَ فِي ٱلۡأَذَلِّينَ ﴾
[المُجَادلة: 20]
﴿إن الذين يحادون الله ورسوله أولئك في الأذلين﴾ [المُجَادلة: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale wanaoenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, hao ni miongoni mwa wadhalilifu walioshindwa na kufanywa wanyonge duniani na Akhera |