×

Na ili nyoyo za wasio amini Akhera zielekee hayo, nao wayaridhie na 6:113 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:113) ayat 113 in Swahili

6:113 Surah Al-An‘am ayat 113 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 113 - الأنعَام - Page - Juz 8

﴿وَلِتَصۡغَىٰٓ إِلَيۡهِ أَفۡـِٔدَةُ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ وَلِيَرۡضَوۡهُ وَلِيَقۡتَرِفُواْ مَا هُم مُّقۡتَرِفُونَ ﴾
[الأنعَام: 113]

Na ili nyoyo za wasio amini Akhera zielekee hayo, nao wayaridhie na wayachume wanayo yachuma

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولتصغى إليه أفئدة الذين لا يؤمنون بالآخرة وليرضوه وليقترفوا ما هم مقترفون, باللغة السواحيلية

﴿ولتصغى إليه أفئدة الذين لا يؤمنون بالآخرة وليرضوه وليقترفوا ما هم مقترفون﴾ [الأنعَام: 113]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ili zielekee huko nyoyo za makafiri ambao hawaamini maisha ya Akhera wala hawayafanyii matendo ya kuwafaa, na ili nafsi zao zipate kuyapenda, na ili wapate kuyafanya maovu ambayo wao ni wenye kuyafanya. Katika haya, pana onyo kubwa kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek