Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 117 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعۡلَمُ مَن يَضِلُّ عَن سَبِيلِهِۦۖ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِٱلۡمُهۡتَدِينَ ﴾
[الأنعَام: 117]
﴿إن ربك هو أعلم من يضل عن سبيله وهو أعلم بالمهتدين﴾ [الأنعَام: 117]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, Mola wako Ndiye Anayewajua zaidi wenye kupotea njia ya uongofu; na Yeye Anawajuwa zaidi, kuliko nyinyi, wale walio kwenye njia ya uongofu na usawa; hafichiki Kwake yoyote katika wao |