×

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. 6:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:32) ayat 32 in Swahili

6:32 Surah Al-An‘am ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 32 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَمَا ٱلۡحَيَوٰةُ ٱلدُّنۡيَآ إِلَّا لَعِبٞ وَلَهۡوٞۖ وَلَلدَّارُ ٱلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٞ لِّلَّذِينَ يَتَّقُونَۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ ﴾
[الأنعَام: 32]

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما الحياة الدنيا إلا لعب ولهو وللدار الآخرة خير للذين يتقون أفلا, باللغة السواحيلية

﴿وما الحياة الدنيا إلا لعب ولهو وللدار الآخرة خير للذين يتقون أفلا﴾ [الأنعَام: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Maisha ya kilimwengu hayakuwa, katika wingi wa hali zake, isipokuwa ni udanganyifu na ubatilifu. Na matendo mema, kwa kutengeneza nyumba ya Akhera, ndiyo bora kwa wenye kumcha Mwenyezi Mungu, wakajikinga na adhabu Yake kwa kumtii na kujiepusha na mambo ya kumuasi. Kwani hamuelewi, enyi washirikina mlioghurika na pambo la uhai wa kilimwengu, mukayatanguliza yanayosalia mbele ya yanayomalizika
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek