×

Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu 61:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saff ⮕ (61:4) ayat 4 in Swahili

61:4 Surah As-saff ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saff ayat 4 - الصَّف - Page - Juz 28

﴿إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلَّذِينَ يُقَٰتِلُونَ فِي سَبِيلِهِۦ صَفّٗا كَأَنَّهُم بُنۡيَٰنٞ مَّرۡصُوصٞ ﴾
[الصَّف: 4]

Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu kama jengo lilio kamatana

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الله يحب الذين يقاتلون في سبيله صفا كأنهم بنيان مرصوص, باللغة السواحيلية

﴿إن الله يحب الذين يقاتلون في سبيله صفا كأنهم بنيان مرصوص﴾ [الصَّف: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wale wanaopigana katika njia Yake wakiwa wamejipanga kama kwamba wao ni jengo lililopangika na kuimarika kwa namna ya kutoweza adui kupenyeza kupitia jengo hilo. Katika aya hii pana maelezo ya ubora wa jihadi na wenye kupigana jihadi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila upungufu, Anawapenda waja Wake Waumini wanapojipanga kupambana na maadui wa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek