Quran with Swahili translation - Surah As-saff ayat 3 - الصَّف - Page - Juz 28
﴿كَبُرَ مَقۡتًا عِندَ ٱللَّهِ أَن تَقُولُواْ مَا لَا تَفۡعَلُونَ ﴾
[الصَّف: 3]
﴿كبر مقتا عند الله أن تقولوا ما لا تفعلون﴾ [الصَّف: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni machukivu makubwa sana kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwenu nyinyi mnaposema kwa ndimi zenu maneno msiyoyafanya |