Quran with Swahili translation - Surah Al-Jumu‘ah ayat 3 - الجُمعَة - Page - Juz 28
﴿وَءَاخَرِينَ مِنۡهُمۡ لَمَّا يَلۡحَقُواْ بِهِمۡۚ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[الجُمعَة: 3]
﴿وآخرين منهم لما يلحقوا بهم وهو العزيز الحكيم﴾ [الجُمعَة: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Amemtuma yeye kwa watu wengine watakaokuja ambao bado hawajakuja miongoni mwa Waarabu na wengineo. Na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, Peke Yake, Ndiye Mshindi mwenye kushinda juu ya kila kitu, Mwingi wa hekima katika maneno Yake na matendo Yake |