Quran with Swahili translation - Surah Al-Jumu‘ah ayat 4 - الجُمعَة - Page - Juz 28
﴿ذَٰلِكَ فَضۡلُ ٱللَّهِ يُؤۡتِيهِ مَن يَشَآءُۚ وَٱللَّهُ ذُو ٱلۡفَضۡلِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الجُمعَة: 4]
﴿ذلك فضل الله يؤتيه من يشاء والله ذو الفضل العظيم﴾ [الجُمعَة: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kutumilizwa huko kwa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa ummah wa Kiarabu na wasiokuwa wao, ni wema kutoka kwa Mwenyezi Mungu humpa Anayemtaka miongoni mwa waja Wake. Na Yeye, Peke Yake, Ndiye Mwenye wema na upaji mwingi |