Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 18 - المُلك - Page - Juz 29
﴿وَلَقَدۡ كَذَّبَ ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِهِمۡ فَكَيۡفَ كَانَ نَكِيرِ ﴾
[المُلك: 18]
﴿ولقد كذب الذين من قبلهم فكيف كان نكير﴾ [المُلك: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika walikanusha wale waliokuwa kabla ya makafiri wa Makkah kama vile watu wa Nuchouh, 'Ād na Thamūd walivyowakanusha Mitume wao. Basi kulikuwa namna gani kule kuwakasirikia kwangu na kuwageuzia kwangu neema waliyokuwa nayo kwa kuwateremshia adhabu na kuwaangamiza |