Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 2 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿مَآ أَنتَ بِنِعۡمَةِ رَبِّكَ بِمَجۡنُونٖ ﴾
[القَلَم: 2]
﴿ما أنت بنعمة ربك بمجنون﴾ [القَلَم: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anaapa Mwenyezi Mungu kwa Kalamu ambayo kwayo Malaika na watu wanaandikia, na kwa kile wanachokiandika cha kheri, manufaa na aina za elimu |