×

Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika 68:3 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qalam ⮕ (68:3) ayat 3 in Swahili

68:3 Surah Al-Qalam ayat 3 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 3 - القَلَم - Page - Juz 29

﴿وَإِنَّ لَكَ لَأَجۡرًا غَيۡرَ مَمۡنُونٖ ﴾
[القَلَم: 3]

Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن لك لأجرا غير ممنون, باللغة السواحيلية

﴿وإن لك لأجرا غير ممنون﴾ [القَلَم: 3]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hukuwa wewe, ewe Mtume, kwa sababu ya neema ya Mwenyezi Mungu kwako, ya unabii na utume, ni mchache wa akili wala mwenye uduni wa maoni. Na wewe una malipo makubwa yasiyopunguzwa wala kukatwa kwa yale matatizo unayopambana nayo ya ufikishaji ujumbe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek