Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 46 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ ﴾
[القَلَم: 46]
﴿أم تسألهم أجرا فهم من مغرم مثقلون﴾ [القَلَم: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au unaomba, ewe Mtume, hawa washirikina ujira wa kidunia kwa kuufikisha ujumbe, hivyo basi wao wakawa wamelazimishwa kubeba mzigo mzito wa gharama |