Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 47 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ ﴾
[القَلَم: 47]
﴿أم عندهم الغيب فهم يكتبون﴾ [القَلَم: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wao wana ujuzi wa ghaibu, wakawa wanaandika kutokana nao kile wanachokiamulia nafsi zao kwamba wao wana cheo bora zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko wale wenye kumuamini |