Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 13 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿فَإِذَا نُفِخَ فِي ٱلصُّورِ نَفۡخَةٞ وَٰحِدَةٞ ﴾
[الحَاقة: 13]
﴿فإذا نفخ في الصور نفخة واحدة﴾ [الحَاقة: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi Malaika atakapopuliza kwenye barugumu mpulizo mmoja, nao ni mpulizo wa kwanza ambao hapo patapatikana maangamivu ya ulimwengu |