Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 45 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿لَأَخَذۡنَا مِنۡهُ بِٱلۡيَمِينِ ﴾
[الحَاقة: 45]
﴿لأخذنا منه باليمين﴾ [الحَاقة: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr tungalimtesa na tungalimkamata kwa nguvu na uweza, kwani nguvu ya kila kitu iko kwenye upande wake wa kulia |