Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 104 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَقَالَ مُوسَىٰ يَٰفِرۡعَوۡنُ إِنِّي رَسُولٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 104]
﴿وقال موسى يافرعون إني رسول من رب العالمين﴾ [الأعرَاف: 104]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mūsā alisema kumwambia Fir'awn akimzungumzia na akimfikishia ujumbe, «Mimi ni mjumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Muumba viumbe wote na Mwenye kupanga hali zao na marejeo yao |