Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 114 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ لَمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ﴾
[الأعرَاف: 114]
﴿قال نعم وإنكم لمن المقربين﴾ [الأعرَاف: 114]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir'awn akasema, «Ndio, mtakuwa na malipo na ukaribu na mimi mkimshinda.» |