Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 115 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالُواْ يَٰمُوسَىٰٓ إِمَّآ أَن تُلۡقِيَ وَإِمَّآ أَن نَّكُونَ نَحۡنُ ٱلۡمُلۡقِينَ ﴾
[الأعرَاف: 115]
﴿قالوا ياموسى إما أن تلقي وإما أن نكون نحن الملقين﴾ [الأعرَاف: 115]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema wachawi wa Fir'awn kumwambia Mūsā, kwa njia ya kujiona na kutojali. «Ewe Mūsā, chaguwa uwe ni wa mwanzo kutupa fimbo yako au tuwe sisi ni wa mwanzo kutupa.» |