×

Nakufikishieni Ujumbe wa Mola Mlezi wangu, na ninakunasihini; na ninayajua kwa Mwenyezi 7:62 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:62) ayat 62 in Swahili

7:62 Surah Al-A‘raf ayat 62 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 62 - الأعرَاف - Page - Juz 8

﴿أُبَلِّغُكُمۡ رِسَٰلَٰتِ رَبِّي وَأَنصَحُ لَكُمۡ وَأَعۡلَمُ مِنَ ٱللَّهِ مَا لَا تَعۡلَمُونَ ﴾
[الأعرَاف: 62]

Nakufikishieni Ujumbe wa Mola Mlezi wangu, na ninakunasihini; na ninayajua kwa Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أبلغكم رسالات ربي وأنصح لكم وأعلم من الله ما لا تعلمون, باللغة السواحيلية

﴿أبلغكم رسالات ربي وأنصح لكم وأعلم من الله ما لا تعلمون﴾ [الأعرَاف: 62]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Nawafikishia nyinyi lile niliotumwa nalo kutoka kwa Mola wangu, na wapa ushauri kwa kuwaonya na adhabu ya Mwenyezi Mungu na kuwapa bishara njema ya malipo yake mema, na mimi nayajua, kuhusu sheria Yake, msiyoyajua
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek