Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 61 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ يَٰقَوۡمِ لَيۡسَ بِي ضَلَٰلَةٞ وَلَٰكِنِّي رَسُولٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 61]
﴿قال ياقوم ليس بي ضلالة ولكني رسول من رب العالمين﴾ [الأعرَاف: 61]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ Akasema, «Enyi watu wangu, mimi si mpotevu katika jambo lolote kwa njia yoyote, lakini mimi ni mjumbe kutoka Mola wa viumbe wote; Mola wangu na Mola wenu na Mola wa viumbe wote |