Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 4 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّهُۥ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى ٱللَّهِ شَطَطٗا ﴾
[الجِن: 4]
﴿وأنه كان يقول سفيهنا على الله شططا﴾ [الجِن: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na kwamba fidhuli wet, Iblisi, alikuwa akisema kumsingizia Mwenyezi Mungu aliyetukuka neno lililo mbali na ukweli na usawa, la kudai kuwa Yeye ana mke au mtoto |