Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 5 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن تَقُولَ ٱلۡإِنسُ وَٱلۡجِنُّ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبٗا ﴾
[الجِن: 5]
﴿وأنا ظننا أن لن تقول الإنس والجن على الله كذبا﴾ [الجِن: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na kwamba sisi tulidhani kuwa hakuna yoyote atakayemzulia Mwenyezi Mungu Aliyetukuka urongo, si katika binadamu na si katika majini, wa kumnasibishia Yeye mke na mtoto |