Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 7 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿فَإِذَا بَرِقَ ٱلۡبَصَرُ ﴾
[القِيَامة: 7]
﴿فإذا برق البصر﴾ [القِيَامة: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi macho yatakapoduwaa na yakashituka kwa kutishika na kile yalichokiona cha vituko vya Siku ya Kiyama |