Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 28 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿رَفَعَ سَمۡكَهَا فَسَوَّىٰهَا ﴾
[النَّازعَات: 28]
﴿رفع سمكها فسواها﴾ [النَّازعَات: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Amezipanga juu yenu kama jengo. Na Ameinua sakafu yake angani, haina tofauti wala nyufa |