Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 29 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿وَأَغۡطَشَ لَيۡلَهَا وَأَخۡرَجَ ضُحَىٰهَا ﴾
[النَّازعَات: 29]
﴿وأغطش ليلها وأخرج ضحاها﴾ [النَّازعَات: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Ameutia giza usiku wake kwa kutwa kwa jua lake. Na Ameweka wazi mchana wake kwa kuchomoza kwake |