Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 15 - الأنفَال - Page - Juz 9
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ إِذَا لَقِيتُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ زَحۡفٗا فَلَا تُوَلُّوهُمُ ٱلۡأَدۡبَارَ ﴾
[الأنفَال: 15]
﴿ياأيها الذين آمنوا إذا لقيتم الذين كفروا زحفا فلا تولوهم الأدبار﴾ [الأنفَال: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Enyi wale ambao walimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafuata sheria Yake kivitendo, mpambanapo na waliokanusha katika vita wakawa wanasongea karibu yenu msiwape migongo yenu na mkakubali kushindwa na wao, lakini kuweni imara na wao, kwani Mwenyezi Mungu yuko pamoja na nyinyi na ni Mwenye kuwapa ushindi juu yao |