Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 14 - الأنفَال - Page - Juz 9
﴿ذَٰلِكُمۡ فَذُوقُوهُ وَأَنَّ لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابَ ٱلنَّارِ ﴾
[الأنفَال: 14]
﴿ذلكم فذوقوه وأن للكافرين عذاب النار﴾ [الأنفَال: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Adhabu hiyo niliyoiharakisha kwenu, enyi makafiri mnaoenda kinyume na amri za Mwenyezi Mungu ulimwenguni, ionjeni katika maisha ya kilimwengu, na huko Akhera mtakuwa na adhabu ya Moto |